May 3, 2024, 06:19 PM
Mazao ya chakula kwa mujibu wa Wizara ya Kilimo ni pamoja na mahindi, mchele, ngano, mtama, ulezi, uwele, muhogo, maharage, mikunde, ndizi, viazi vitamu na viazi mviringo.
Apr 10, 2024, 05:27 PM
Bei za vitoweo zipo juu, kuku wamepanda sana bei na hii inasababishwa na kuzidi kwa mvua hivyo kusababisha wafugaji kushindwa kuzalisha kwa wingi
Mar 28, 2024, 03:23 PM
Tujifunze mapishi ya kalmati zinazoweza kuwa miongoni mwa vitafunwa katika msimu huu au wakati mwingine wowote utakaopendea