Aug 19, 2025, 07:22 PM
Fahamu faida za unywaji wa kahawa
Kahawa ni miongoni mwa vinywaji maarufu duniani huku kikiwa na historia pana inayorithishwa enzi na enzi. Bodi ya Kahawa Tanzania ( TCB), inabainisha kuwa Tanzania inazalisha aina mbili za kahawa ambazo ni Arabika pamoja na Robusta zinazochangia wastani wa asilimia 60.9 na 39.1 ya uzalishaji wa kahawa nchini hatua inayotajwa kuchangia ongezeko la wanywaji wa […]